Songs of Home | Mabadilishano ya Nyimbo

The Virtual Co:Lab uses community objectives and curriculum development to translate knowledge into story and song to share with international communities.  We believe that learners need more opportunities to reach out beyond the walls of their classrooms to connect with communities and share experiences with other students and teachers to enhance learning.

We have partnered with a small village school in Iyoli, Tanzania.  Iyoli is in the middle of Tanzania which is one of the driest regions in the country but will have a 128M well built before the exchange starts in the small community by Innovation: Africa.

Using art, story and song the village students will share parts their home with an international audience using songwriting as a tool.

Program begins May 1st, 2018

Utangulizi | Introductions

Kuanza mradi, wanafunzi wa Strathcona watanaswa kwenye sinema ambapo watajitambulisha pamoja na ziara ya shule ya strathcona kwa wanafunzi wa Iyoli.

To kick the project off introductions will be filmed of the Strathcona students to show in Iyoli on a projector along with a video/photographic tour of the school.

 • Screen-Shot-2016-02-26-at-3.28.11-PM
  Strathcona Elementary

     

Your Home | Nyumbani Mwako

Your home is your house, and more. Your home is your family, your neighbourhood, your country. Your home can be your ideas, your culture, anything that makes you comfortable in your environment. Create sounds and pictures and words that come from observing the world around you.

Nyumbani mwako ni nyumba na zaidi. Nyumbani mwako ni familia, ni mazingira ni nchi. Vile vile, inaweza kuwa mawazo, utamaduni, chochote kinachosaidia kuleta ustarehe kwa mazingira yako. Unda sauti, picha, sinema na maneno kutoka kwa yale unayoyaona kwenye mazingira yako.

Questions to ask...

What songs/music do you hear when you are at home?
What songs do you remember from your childhood?
Can you sing us a song from your childhood?:
Are there songs or musical traditions you associate with your family?
Who is in your family?
How do you describe the culture of your family?
How are you different from your family?

What sounds do you hear as you fall asleep and when you wake up?
What is your favorite colour and what does it remind you of?
Draw a picture of your home
Take a picture of your classroom
What makes you laugh?
What makes you curious?
Draw a picture of your family
What things make you feel at home (food, siblings, etc)?
What makes you feel happy?
What patterns do you hear in the music you listen to?

Maswali ya kuuliza…

Nyimbo gani husikiliza ukiwa nyumbani?
Nyimbo gani ya utoto wa weza kumkbuka?
Wa weza ku tu imbia moja ya nyimbo yako ya utoto?
Je?  Kuna nyimbo ina yo husu jamii yako?
Ni wa nani wu undayo jamii yako?
Je, wa weza ku fasiriya mila ya jamii yako?
Wa ta fua utiya na je na jamii yako?

Ni sauti zipi unazosikia unapoenda kulala na uamkapo?
Rangi ipi unayoipenda na inakukumbusha nini?
Chora picha ya nyumba yako
Piga picha ya darasa lako
Nini hukuchekesha?
Nini hukupa udadisi?
Chora picha ya familia yako
Nini hukupa hisia ya nyumbani (chakula, ndugu, na kadhalika)?
Nini hukupa furaha?
Unasikia muundo upi kwa nyimbo unazosikiliza?

 • BB5496DB-4F6C-45BE-B355-75E634E06E10
  Grade one guitar

  Where does this show up?

 • FF23DD02-5D05-41CB-959B-C6BD9F4B5DC8
  Boy on a branch

  he likes to climb things better this than the second narrows bridge

Muundo | Creation

Sehemu hii inahusu kutunga wimbo. Kila kikundi kitachagua kiini cha kuzingatia kwa nyimbo yao. Rudi kwenye awamu ya utafiti na tumia mawazo uliyopata wakati ulipokuwa unatazama mazingira yako. Si lazima wimbo uwe maridadi, ila unahitajika kusimulia juu yako na Maisha yako.

This phase is about making a song.  Each group will now choose a theme to focus on for their group’s song. Go back to the exploration phase and use ideas generated by your observations. The song does not have to be perfect but it has to say something about yourself and your life.

Maswali ya kuuliza…

Wimbo huu unahusu nini?
Unataka kusema nini kwa wasikilizi?
Michoro ipi inanasa wimbo wako?
Nini kimefichika kiundani wa wimbo wako?

Questions to ask…

What your song is about?
What do you want to say to the people listening?
What visuals represent your song?
What are the small details of your song idea?

 • BB5496DB-4F6C-45BE-B355-75E634E06E10
  Grade one guitar

  Where does this show up?

Maonyesho na sherehe | Presentation and Party

Part of the joy of creating music is performing to people. Students will present final songs to their communities with a live facebook feed. It will be a big party with everyone involved.

Sehemu ya furaha ya kuunda nyimbo ni kuonyesha watu. Wanafunzi wataonyesha nyimbo zao kwenye jumuia ambapo shule binti watahusika kupitia mtandao moja kwa moja. Itakuwa sherehe kubwa kwa wote watakaohusika.